Idara Ya Usalama Wa Taifa: Ni Chombo Cha Mauaji? - Godwin Chilewa - Books - GOSTCH Publishers - 9780692364017 - January 17, 2015
In case cover and title do not match, the title is correct

Idara Ya Usalama Wa Taifa: Ni Chombo Cha Mauaji? Swahili edition

Godwin Chilewa

Price
$ 18.99

Ordered from remote warehouse

Expected delivery Jun 18 - Jul 2
Add to your iMusic wish list

Idara Ya Usalama Wa Taifa: Ni Chombo Cha Mauaji? Swahili edition

Idara ya usalama wa Taifa ni chombo cha mauaji? Ilihusika vipi na vifo vya marehemu Horace Kolimba, Profesa Kighoma Ali Malima na Mzee Mahimbo? Kwa nini imeshindwa kuwadhibiti mafisadi, wauzaji wa madawa ya kulevya, wahujumu uchumi na wahalifu wengine nchini? Kwa nini wananchi wamekosa imani na idara hii? Je chombo hiki bado kinahitajika katika Tanzania ya leo? Mwandishi Godwin Chilewa anajibu maswali hayo pamoja na mengine mengi.

Media Books     Paperback Book   (Book with soft cover and glued back)
Released January 17, 2015
ISBN13 9780692364017
Publishers GOSTCH Publishers
Pages 222
Dimensions 13 × 127 × 203 mm   ·   226 g
Language Swahili  

Show all

More by Godwin Chilewa